Kuna umuhimu gani kwa Askari magereza kufanya mambo kama mahakamani kwenye kesi ya Lissu. ?
16.06.2025 09:35 β π 3 π 2 π¬ 0 π 0@changetanzania.bsky.social
This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337
Kuna umuhimu gani kwa Askari magereza kufanya mambo kama mahakamani kwenye kesi ya Lissu. ?
16.06.2025 09:35 β π 3 π 2 π¬ 0 π 0-- Lissu amewataka mawakili wa serikali kutoa nyaraka wanapojibu amri za mahakama na sio kuja na maneno tu wakati mahakama ilitoa amri na ilitakiwa kujibiwa hiyo amri kwanza na sio wakili kufika na kukimbilia kusema kesi imehairishwa
16.06.2025 09:34 β π 2 π 2 π¬ 0 π 0-- Kuanzia sasa Lissu atakuwa akijiwakilisha yeye mwenyewe mahakamani mawakili wake 30 amewaondoa mpaka atakapoona vinginevyo
16.06.2025 09:33 β π 2 π 1 π¬ 0 π 0-- Serikali imesema upelelezi umekamilika, kwa sasa jalada liko kwa DPP, ila itachukua DPP wiki mbili kusoma Jalada na kumaliza kisha kutoa maamuzi kama wanaendelea na kesi mahakama kuu au hapana hii ni baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi 15
16.06.2025 09:32 β π 4 π 1 π¬ 0 π 0--Hakimu amepuuza maombi ya mawakili wa Lissu kuhusu hali yake magereza, haki nyingi zinavunjwa na haki anajibu hana nguvu ya kuingilia shughuli za magereza, kisheria Mahakama ndiye yenye amri na dhamana ya mahabusu wote, na hakimu anawajibu wa kutembelea magereza kujua mazingira na hali ya wafungwa
16.06.2025 09:32 β π 2 π 1 π¬ 0 π 13/
-- Lissu amekosa haki ya kuonana na mawakili wake, kila anayeonana na Lissu lazima kuwe na askari anasikiliza, hivyo ameshindwa kufanya kazi na mawakili wake sababu hakuna faragha, kuanzia sasa atajaribu kujiwakilisha sababu mawakili wanadhibitiwa na Bwana Jela
2/
-- Lissu amekosa sehemu ya kufanya mazoezi, anapita sehemu ya maji machafu yenye utelezi ambayo anaweza kuanguaka kutokana na mguu wake mmoja kuwa Mbovu
Thread
Mahakama leo imeambiwa yafuafutayo kwenye kesi ya Lissu , Hii ni kwa ile Kesi ya Uhaini tu
-- Lissu anaishi na wafungwa wanaosubiria Kunyongwa, analindwa na askari wawili usiku na mchana
-- Lissu ameondolewa haki zote za kuhabu toka amekwenda magereza, wafungwa wengine wote wanaruhusiwa
Harakati katika kulikomboa Taifa, ushiriki wetu sote ni muhimu, Jiunge na magroup haya
Wenye Nchi Wananchi channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029...
Maria na spaces chat.whatsapp.com/F6Nff99d5gIG...
Follow the Change Tanzania channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029...
Congressman Scott Perry argues that "the government and political system of Somaliland already operates independently of Mogadishu, the unstable, conflict-ridden and fractured capitol city of Somalia."
13.06.2025 19:49 β π 3 π 2 π¬ 0 π 0U.SπΊπΈ Congressman Scott Perry(Pennsylvania) has introduced the Republic of #Somaliland Independence Act, legislation formally recognizing Somaliland as a separate, independent nation.
The legislation authorizes President of the United States to formally recognize Somaliland as an independent nation.
Harakati kulikomboaTanzania, ushiriki na umoja wetu ni muhimu, Jiunge na magroup ya Mijadala
Kwa Harakati Follow the Wenye Nchi Wananchi WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029...
na Maria spaces chat.whatsapp.com/F6Nff99d5gIG...
Change Tanzania channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029...
Kwa nini #NoReformsNoElection na Oktoba hatutiki?
LIVE
#NoReformsNoElection x.com/i/spaces/1nA...
#ChangeTanzania
05.07.2023 10:15 β π 10 π 4 π¬ 1 π 0