Jov's Avatar

Jov

@jkd2.bsky.social

874 Followers  |  1,869 Following  |  16 Posts  |  Joined: 27.12.2024  |  1.6405

Latest posts by jkd2.bsky.social on Bluesky

Post image

We once read in the Scriptures those who were thrown into the Furnace of fire but did not burn.. This can be a testimony.. In the middle of the Fire Disaster, he is left alone.. God is very Great

12.01.2025 12:56 β€” πŸ‘ 4    πŸ” 0    πŸ’¬ 1    πŸ“Œ 0
x.com

Donald Trump:

There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.

The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
#PalisadesFire #CaliforniaWildfires #LosAngeles #lafires #Gaza #PalisadesWildfire

x.com/Syed_1109084...

10.01.2025 11:24 β€” πŸ‘ 1    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0
Preview
MBOWE: Uchaguzi Ukimalizika Kamati Kuu Itaamua Hatua Gani Imchukulie Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @chadematzofficial Taifa Freeman Mbowe na mtia nia wa hiyo, ametoa wito kwa uongozi mpya utakaoingia madarakani baada ya uchaguzi wa chama hic...

MBOWE: Uchaguzi Ukimalizika Kamati Kuu Itaamua Hatua Gani Imchukulie Tundu Lissu phoenix-browser.com/DK0AMZoqv64

07.01.2025 14:12 β€” πŸ‘ 2    πŸ” 0    πŸ’¬ 1    πŸ“Œ 0

Yes

06.01.2025 17:46 β€” πŸ‘ 0    πŸ” 0    πŸ’¬ 1    πŸ“Œ 0

Same to you

02.01.2025 13:24 β€” πŸ‘ 0    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0

Ngoja tuwaache watifuane kwanza

02.01.2025 13:22 β€” πŸ‘ 1    πŸ” 0    πŸ’¬ 1    πŸ“Œ 0
Preview
AJALI YA BASI, NOAH YAUA WATU 9 Watu 9 wamefariki dunia Wilaya Rombo Tarekea Mkoani Kilimanjaro,baada ya Basi la Ngasere kugongana uso kwa uso na gari ndogo aina ya Noah.

AJALI YA BASI, NOAH YAUA WATU 9 phoenix-browser.com/iQjfYHr38U

31.12.2024 15:51 β€” πŸ‘ 4    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0
Preview
Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima

Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima phoenix-browser.com/BeVFIMjEA6A

28.12.2024 14:42 β€” πŸ‘ 2    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0
Preview
MELI YA MV SERENGETI YAPINDUKA SIKU TATU BAADA YA KUFANYIWA UKAGUZI Na Mwandishi Wetu, Mwanza

MELI YA MV SERENGETI YAPINDUKA SIKU TATU BAADA YA KUFANYIWA UKAGUZI phoenix-browser.com/S6X2bPXIAF

28.12.2024 13:19 β€” πŸ‘ 1    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0

Mwanajeshi wa Korea Kaskazini aliyejeruhiwa na kutekwa na Ukraine amefariki, yasema Korea Kusini phoenix-browser.com?d=2022342635...

28.12.2024 00:11 β€” πŸ‘ 2    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0
Preview
Jeshi la Kongo β€˜ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo β€˜limedungua’ ndege sita zisizo na rubani za Kamikaze za Jeshi la Rwanda katika mji wa Mambasa eneo la Lubero katika Mkoa wa Nord Kivu.

Jeshi la Kongo β€˜ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda phoenix-browser.com?d=4319181661...

28.12.2024 00:06 β€” πŸ‘ 1    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0
Preview
Jeshi la Kongo lamkamata mwanajeshi wa Rwanda Mbele ya vyombo vya habari, askari huyo aliyekamatwa alithibitisha uwepo wao kwenye ardhi ya kongo kuwasaidia waasi wa M23 wanaopigana dhidi ya jeshi la kongo. HAKIZIMANA IRADUKUNDA ni miongoni mwa wa...

Jeshi la Kongo lamkamata mwanajeshi wa Rwanda phoenix-browser.com/CAGQCfGLBYo

28.12.2024 00:05 β€” πŸ‘ 1    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0
Preview
Mashauri Jela maisha kwa kulawiti Mtoto wa miaka minne Mkazi wa kitongoji cha Mwankuba, kijiji cha Nyambiti, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, Mashauri Ng’oga Shauri (20) amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka ...

Mashauri Jela maisha kwa kulawiti Mtoto wa miaka minne phoenix-browser.com/KueZ8dFzK8s

27.12.2024 23:58 β€” πŸ‘ 1    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0
Preview
Polisi waonywa kukamata bodaboda kwa fimbo POLISI mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya kutumia nguvu ikiwemo kuwachapa fimbo waendesha pikipiki maarufu bodaboda wanapofanya makosa barabarani.

Polisi waonywa kukamata bodaboda kwa fimbo phoenix-browser.com/DmGm09TH5xu

27.12.2024 23:55 β€” πŸ‘ 0    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0
Preview
DIWANI WA CHADEMA ASHIKILIWA NA POLISI KWA MAUAJI YA KUMPIGA RISASI MKULIMA

DIWANI WA CHADEMA ASHIKILIWA NA POLISI KWA MAUAJI YA KUMPIGA RISASI MKULIMA phoenix-browser.com/IlEAA91JwIi

27.12.2024 19:27 β€” πŸ‘ 1    πŸ” 0    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0
Preview
Safari ya Tanzania katika mapinduzi ya michezo - Tanzania Sports Hatua mbalimbali za kutaka mafanikio ya soka zimelisaidia TFF kushuhudia Taifa Stars ikifuzu mashindanoya AFCON mara tatu mfululizo

tanzaniasports.com/safari-ya-ta...

05.12.2024 19:17 β€” πŸ‘ 4    πŸ” 2    πŸ’¬ 0    πŸ“Œ 0

Kuna uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA halafu kuna uchaguzi wa mustakabali mwema wa CHADEMA, kwenye uchaguzi huo mmoja.

Tundu Lissu ndiye mwenye mustakabali mwema wa CHADEMA sasa hivi.

27.12.2024 16:58 β€” πŸ‘ 4    πŸ” 0    πŸ’¬ 1    πŸ“Œ 0

@jkd2 is following 16 prominent accounts